USULI HISTORIA

Shule ya ufundi ya mago ilianzishwa mwaka 2005.Shule hii hufunza masomo ya kiufundi kama vile kutengeneza magari,Useremala,Uashi,Ushonaji nguo,Upishi na utunzaji na pia somo la Tarakilishi. Nia ya shule ya ufundi ya mago ni kuwasaidia vijana wasiojiweza ili wapate elimu ya kiufundi Ndiposa waweze kujitegemea maishani.Shule hii ina walimu waliojitolea kufunza wanafunzi kwa ujira mdogo.

Shule hii imefaulu kwa misaada kutoka uholanzi ambapo kampuni na watu tofauti husaidia miradi ya shule. Ili kuwezesha shule hii iweze kujitegemea jumba la wageni la mago lilianzishwa kwenye uwanja sawa na shule hio. Jumba hilo la wageni lilianzishwa mwaka wa 2007 kwa minaajili ya kusaidia kuleta pesa kwenye shule ya ufundi ya mago pia kufunza somo la upishi na utunzaji. Wanafunzi chini ya walimu wao hutayarisha vyumba vya wageni,vyakula na hata kuwahudumia wageni ili wapate ujuzi halisi.

Shule hio ilianza na wanafunzi 30 na sasa idadi imeongezeka hadi zaidi ya wanafunzi 150.

Thanks to the Kenya Tourism Board (KTB) which the marketing team visited in October 2009, a media team with 20 journalists, promoting Western Kenya,...

Read more

The website of Mago Guesthouse is now also avaible to read in the languages Dutch, German and Swahili.

Read more

Joost and Linda, International Tourism Management students have arrived in Mago to help market the guesthouse in Kenya and abroad.

Read more

From the 16th of October 2009 we are officially a member of Ecotourism Kenya. As we are all about helping the community, we are registered as a...

Read more

Empowerment through entrepreneurship! 

After a year of preparations and a huge reconstruction of the school building, the Guesthouse is open! Since...

Read more