SHUGHULI

Shughuli:

 • Ongozwa kwenye shule ya ufundi na ujumuike na wanafunzi
 • Jifunze kupika vyakula kemkem vya kiasili kwa usaidizi wa wanafunzi wa somo la upishi.
 • Jiunge na wanafunzi huku wakicheza kandandaua hata valeboli na ufurahie

Shughuli nje ya shule:

 • Tembea kwenye soko la mago na ujumuike na wakaazi.
 • Tembelea kiwanda cha majani chai na ujifunze jinsi chai inavyochunwa,na kutegenezwa na hata pia kuonja chai ilio kamilika.
 • Talii msitu wa kakamega, ambapo zaidi ya aina 330 ya ndege huishi pale,vipepeo na aina tofauti za nyoka na wanyama wengine wengi na hata mimea ya kuvutia.
 • Tembelea muanguko wa maji wa kaimosi na ule chakula cha mchana kwenye majigara hayo
 • Tembelea jumba la kihistoria ili uweze kujuzwa kuhusu mambo ya kitamaduni ya jiji la kisumu
 • Tembelea soko la kufurahisha la kisumu ambalo ni moja kati ya soko kubwa nchini kenya
 • Jionee vita vya fahali kijiji cha sigalagala karibu na kakamega
 • Pia waweza kutembelea kijiji ambacho Barack Obama ana mizizi yake,kijiji hicho kiko umbali wa lisali moja u nusu kutoka kwetu
 • Abiri meli kwenye ziwa victoria kuelekea kisiwa cha ndere utajionea mamba wa ajabu kwenye mbuga la wanyama
 • Furahia ndege wa angani na wanyama wa pori kama vile simba, chui, fisi na, kadhalika

Thanks to the Kenya Tourism Board (KTB) which the marketing team visited in October 2009, a media team with 20 journalists, promoting Western Kenya,...

Read more

The website of Mago Guesthouse is now also avaible to read in the languages Dutch, German and Swahili.

Read more

Joost and Linda, International Tourism Management students have arrived in Mago to help market the guesthouse in Kenya and abroad.

Read more

From the 16th of October 2009 we are officially a member of Ecotourism Kenya. As we are all about helping the community, we are registered as a...

Read more

Empowerment through entrepreneurship! 

After a year of preparations and a huge reconstruction of the school building, the Guesthouse is open! Since...

Read more