UKUMBI
Ukumbi wa mago uko mahali patulivu ambapo huwezesha mikutano na hata kongamano kufanyika kwa jia shwari.
Ukimbi wetu waweza kutumiwa na watu hadi arobaini.Ukumbi huo una vifaa kama vile tarakilisi vilivyo na mtandao,ubao mweupe an vifaa vingine vingi vinavyoweza kutumiwa kwa mikutano ili kufanya kazi iwe rahisi. Vinywaji hupeanwa kwa hiari yako.