JUMBA LA MAANKULI
Furahia maandalizi mema yanayoandaliwa na wanafunzi wa somo la upishi.
Wanafunzi hao wanafunzwa na pishi bora aitwaye Alex Ombima ambaye alifanya kazi kwa jumba la ubalozi la kenya lililoko mji wa paris kwa miaka minne.
Vyakula vyetu ni vya kiasili na pia vya kimataifa. Mbali na kiamsha kinywa cha kudondosha mate, pia twatayarisha chakula cha mchana cha sehemu 3 na chakula cha jioni cha sehemu 4.