LAPATIKANA WAPI?

Jumba la wageni la mago laweza kufikiwa kutoka Nairobi kwa kuabiri ndege mpaka kisumu au kwa kupitia barabara

Kutoka Nairobi tuko kilomita 350 ukipitia kwenye bonde la ufa kuelekea kisumu kakamega eldoret au kitale.

Tuko umbali wa kilomita 35 kaskazini kutoka jiji la kisumu na kilomita 23 kusini mwa msitu wa kakamega rainforest.

Njia ya kupitia

Nairobi - Nakuru - Kericho - Kisumu - Chavakali - Mago

Nairobi - Nakuru - Mau Samit - Eldoret - Kapsabet - Mago 

Turkana - Kitale - Webuye - Kakamega - Chavakali - Mago

Thanks to the Kenya Tourism Board (KTB) which the marketing team visited in October 2009, a media team with 20 journalists, promoting Western Kenya,...

Read more

The website of Mago Guesthouse is now also avaible to read in the languages Dutch, German and Swahili.

Read more

Joost and Linda, International Tourism Management students have arrived in Mago to help market the guesthouse in Kenya and abroad.

Read more

From the 16th of October 2009 we are officially a member of Ecotourism Kenya. As we are all about helping the community, we are registered as a...

Read more

Empowerment through entrepreneurship! 

After a year of preparations and a huge reconstruction of the school building, the Guesthouse is open! Since...

Read more