KARIBU: FURAHIA MAKAAZI YA NYUMBANI KATIKA NYUMBA YA WAGENI

Katika ulimwengu wenye urembo lapatikana jumba la wageni la kipekee la Mago katika kijiji cha Mago, Msitu wa Kuajabisha wa Kakamega karibu nawe.Ni Jumba la Kifahari la kisasa katika mkoa wa magharibi lililo karibu na jiji la kisumu.

Jumba hilo la wageni ni mradi wa kuingiza mapato kwa ajili ya kusaidia mipango tofauti tofauti ya kielimu ya shule ya ufundi ya Mago.

Jumba la wageni la Mago hupeana uwiano na amani kutokana na mgangano na kelele za mjini.Jua dhamana halisi,na utumishi wa kirafiki katika jumba la wageni lipatikanalo katika uwanja wa shule ya ufundi ya vijana ya mago, linalo endeshwa na wanafunzi wa somo la upishi na utunzaji . Uwe kazini au likizoni twakuhakikishia stara isio sahaulika katika undani mwa nchi ya kenya.

Mago ni kituo cha kuaminika kwa wasafiri wanao safiri kwelekea ziwa turkana,mlima elgon hata nchi ya uganda ambayo mpaka wake u umbali wa masaa mawili kutoka hapa.

Thanks to the Kenya Tourism Board (KTB) which the marketing team visited in October 2009, a media team with 20 journalists, promoting Western Kenya,...

Read more

The website of Mago Guesthouse is now also avaible to read in the languages Dutch, German and Swahili.

Read more

Joost and Linda, International Tourism Management students have arrived in Mago to help market the guesthouse in Kenya and abroad.

Read more

From the 16th of October 2009 we are officially a member of Ecotourism Kenya. As we are all about helping the community, we are registered as a...

Read more

Empowerment through entrepreneurship! 

After a year of preparations and a huge reconstruction of the school building, the Guesthouse is open! Since...

Read more